ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 31, 2017

KISOMO CHA MEREHEMU BI.SALHA SALUM CLARKSBURG, MARYLAND

Watanzania wakijumuika pamoja katika kisomo cha marehemu Bi. Salha Salum (mama yake mzazi Samira Lila) siku ya Jumamosi Desemba 30, 2017 nyumbani kwa Samira Clarksburg, Maryland.
 Miki (kulia) akiandaa vifaa kabla ya kuanza kwa kisomo kushoto ni Manase.
 Wakina mama wakijumuika pamoja na mwenzao Samira Lila kwenye kisomo cha marehemu mama yake mzazi kilichofanyika nyumbani kwake Clarksburg, Maryland siku ya Jumamosi Desemba 30, 2017.
Watanzania wakijumuika pamoja katika kisomo cha marehemu Bi. Salha Salum (mama yake mzazi Samira Lila) siku ya Jumamosi Desemba 30, 2017 nyumbani kwao Clarksburg, Maryland. Mwenye kanzu ni Hajji Khamis kutoka New York akitoa shukurani kwa niaba ya familia na aliyekaa kwenye kiti ni Mzee Yusuf Kalala.

No comments: