Jumuiya ya waTanzania Las Vegas wakisherehekea mnuso wao wa kufungia mwaka uliofanyika Jumamosi Desemba 23, 2017 na kuhuhudhuriwa na waTanzania wa Las Vegas na majimbo ya jirani wakiwemo marafiki zao.
Kikundi cha sanaa kikifanya vitu vyake yote katika kusherehekea mnuso wa mwisho wa mwaka wa Jumuiya ya waTanzania Las Vegas Jumamosi Desemba 23, 2017.
Kikundi cha sanaa kikipata ukodak moment.
Onyesho la mavazi lililofana sana katika kusherehekea mnuso wa mwisho wa mwaka Las Vegas.
Wakati wa chakula
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment