Mchungaji Mushi akiwa mbele ya waumini akiongoza misa ya kiswahili kwenye kanisa la MT Cecilia New York tayari kwa kukaribisha mwaka mpya. Licha ya kuwa na baridi siku hii ya mkesha lakini Watanzania waliweza kujisogeza kwenye misa hii tayari kwa maomboiya kuelekea mwaka mpya. Baada ya misa walipata nafasi ya kushiriki vinywaji baridi na chakula uku wakibadirisha mawili matatu baada ya kuuona mwaka mpya.
No comments:
Post a Comment