ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 1, 2018

MNUSO WA MWAKA MPYA NA SIKU YA KUZALIWA YA VINCENT LAUREL, MARYLAND KIFAMILIA ZAIDI


 Keki ya siku ya kuzaliwa ya Vincent iliyofanyika nyumbani kwao Laurel na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wachache walioweza kuhudhuria siku ya Jumampili Desemba 31, 2017 mkesha wa mwaka 2018.
 Eddah na baba mwenye nyumba wake wakifurahia mwaka mpya 2018.
 Wageni waliohudhuria usiku huo wa mkesha na siku ya kuzaliwa ya Vincent.
 Pozi tata sana 
 Kheri ya mwaka mpya mama mwenye nyumba.
 maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya 2018
Maandalizi yakiendelea
Happy new year
kheri ya mwaka 2018
 Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


1 comment:

Anonymous said...

HAPPY NEW YEAR kwa wana DMV wenzangu wote. SWALI: Whatever happened to our old tradition and spirit? We used to get together as a community to celebrate New Year, with parties for ALL and announced in Advance! Sasa announcements zinakuja wakati wa misiba na matatizo tuu? Let's stick together in good and bad times!