Waziri wa
Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina
akishirikiana
na wakulima wa Kijiji cha Itinje Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu kupalilia shamba
la pamba lililopandwa kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo wakati wa mapumziko
yake ya sikukuu ya Mwaka Mpya jimboni kwake mapema
leo.
Waziri wa
Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akishirikiana
baadhi ya wananchi wa jimbo la Kisesa Wilaya Meatu mkoani Simiyu
kupalilia shamba
la pamba ikiwa ni sehemu ya uhamasishaji kilimo cha kuzingatia mbinu bora za
kilimo ikiwemo kupanda kwa mistari pamoja na kutochanganya zao hilo na mazao
mengine alipokuwa kwenye mapumziko ya sikukuu ya mwaka mpya jimboni
kwake.
Waziri wa
Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina
akishirikiana
mkulima wa Kijiji cha Itinje jimbo la Kisesa Wilaya Meatu mkoani Simiyu Mama
Sagwa Njile kupalilia zao la pamba lililopandwa kwa kuzingatia kanuni bora za
kilimo wakati wa mapumziko ya sikukuu ya Mwaka Mpya jimboni kwake
leo
No comments:
Post a Comment