Wednesday, February 7, 2018

MWANASHERIA MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk.Adelardus Kilangi jana ( Jumanne) amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ikiwa ni sehemu ya kujitambulisha kwa viongozi mbalimbali. Viongozi hao wawili walibadilisha mawazo juu ya masuala mbalimbali na kuahidi kushirikiana kwa karibu. Picha kwa hisani ya PMO

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake