Advertisements

Saturday, February 10, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA MABALOZI KATIKA SHEREHE ZA MWAKA MPYA KWA MABALOZI (DIPLOMATIC SHERRY PARTY) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais akitoa hotuba yake kwa mabalozi hao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana naBalozi wa India, Sandeep Arya Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 9, 2018, kabla ya kuanza kwa hafla ya kukaribisha mwaka mpya kwa Mabalozi hao. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Augustine Mahiga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Congo-DRC, nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 9, 2018, kabla ya kuanza kwa hafla ya kukaribisha mwaka mpya kwa Mabalozi hao. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kuwakaribisha Mabalozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza kwa hafla ya kukaribisha mwaka mpya kwa Mabalozi hao.
Baadhi ya Mabalozi hao wakisikiliza Hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla hiyo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga katika picha ya pamoja na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini katika Hafla ya kukaribisha Mwaka mpya 2018 kwa mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) iliyofanyika Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga katika picha ya pamoja na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini katika Hafla ya kukaribisha Mwaka mpya 2018 kwa mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) iliyofanyika Ikulu.(PICHA NA IKULU)

No comments: