Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme amewataka viongozi wa dini mkoa humo kusimamia vyema maadili ,unywaji pombe uliokithiri pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya
amesema hayo wakati akizungumza na viongozi wa dini katika ikulu ndogo mjini songea habari kamili hii hapa video yake
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake