Fika usikilize sera za mgombea Urais Lucas Mukami (Dj Luke) jinsi gani atakavyoinasua DMV hapa ilipo na kuipeleka mbele iendane na wakati.
DMV mpya inahitaji mtu mwenye dhamira ya kweli.
Anuani ni
7901 Meadowbrook Ln
Chevy chase MD
Kutakua na nyama choma, vinywaji vyepesi na vitafunwa hii ni fursa pekee ya kumsikiliza mgombea wa Urais DMV.
Kumbuka hii ni siku ya mwisho ya kujiandikisha kwa mpiga kura
KaRiBu sana
PAMOJA KWA UMOJA TUJENGE DMV MOJA
1 comment:
jamani mjukuu wangu umeamua kugombea? ni vizuri mimi baba yako niko huku Tanzania nasukuma gurudumu la maendeleo. Pambana mwanangu. Jihadhari na wale wenye kutumia itikadi ya dini katika kampeni zao maana nakumbuka wakati nagombea ukatibu Maryland.Nawapenda na tumia vijimambo pia kukampenia
Post a Comment