ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 19, 2018

MKUTANO WA KAMPENI WA MGOMBEA URAIS DMV

Mwenyekiti wa tume Bwn. Robert Saulanga akielezea na kutoa maelekezo kwa wapiga kura jinsi ya utaratibu utakaotumika siku ya Jumamosi March 24, 2018 siku ambayo wanaDMV watachagua vionozi watakaoitumikia Jumuya yao. Katika mkutano huo wa kampeni wa mgombea Dj Luke watu mbalimbali waliongea wakiwemo wagombea wengine.
Katibu wa tume Julius Manase akifafanua moja ya maswali aliyoulizwa na wapiga kura.
Mgombea wa bodi ya wa wakurugenzi Asha Hariz akijinadi kwa wapiga kura.
Mgombea wa nafasi ya uhazini Lysa Bantu akijieleza kwa wapiga kura.
Mgombea wa nafasi ya makamu wa rais Joyce Cottrell akijieleza na kuomba kura kwa wapiga kura.
Mgeni mwalikwa Baraka Daudi akimndai mgombea wa urais Dj Luke na kuwakumbusha wanaDMV ni vitu gani mgombea huyo kaifanyia DMV.
Mgombea wa nafasi ya Urais Dj Luke akijinadi na kuelezea sera kwa wapiga kura wake.
Wapiga kura waliofika kwenye mkutano wa mgombea Urais wa DJ Luke.
Wapiga kura wakifuatilia mkutano.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Wapiga kura wakiwemo tume wakipata chakula.
Picha ya pamoja
 Dj More

No comments: