Baba yetu, Dr. Nicholaus Boaz amempoteza Mama yake mzazi leo Tanzania. Mzee Boaz amepata taarifa za Mama yake kuitwa na bwana majira ya saa 12 jioni hii.
Kama ilivyo ada yetu Watanzania wa DMV kufarijiana kipindi cha matatizo;
msiba upo nyumbani kwake Mzee wetu Boaz.
Address: 4617 - 30th St.
Mount Rainier, MD 20712
Rambirambi: CashApp +1 (919) 452-2746 Elizabeth Bantu (Lissa)
Kwa taarifa za msiba wasiliana Dr. Boaz: 240-593-6348 _
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA; JINA LAKE LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment