Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa akifunga Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika jana katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar (kulia) Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman (kulia) na Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati, Mhe.Salama Aboud Twalib
Waziri asiyekuwa na Wizara maalum Mhe,Said Soud Said akionesha Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM wakati alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika jana katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar, (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment