ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 17, 2018

TUJUMUIKE NA FAMILIA YA RICHARD MAWENYE NA LUIS MUSHI KATIKA MISA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA BABA YAO


Familia ya Richard Mawenya na Luis Mushi wanawakaribisha kwenye Misa ya Kumbukumbu "Memorial Service" ya Baba yao mpendwa Mzee Panthaleo Mushi aliyefariki March 4th 2018 na kuzikwa March 8th 2018 huko Moshi, Tanzania.
Date: Jumamosi, March 17th, 2018

Time: 2:00pm
Address:St. Edward Roman Catholic Church
*901 Poplar Grove St. 
Baltimore, MD 21216*
Baada ya Misa, tutajumuika kwa chakula cha pamoja hapo hapo Kanisani.



Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana na:
Melissa Kritikos (240) 602-1506
Julius Manase (240) 393-8445
Asha Hariz (703) 624 2409



Karibuni wote!
Tafadhali tuzingatie muda.

No comments: