ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 20, 2018

HONGERA NASRA CHUNDA KWA KULA NONDO KATIKA CHUO CHA FRAMINGHAM.MA


Nasra Chunda wa Massachusetts akiwa mwenye tabasamu mubashara kabisa kwenye sherehe yake ya kumaliza chuo na kula nondo ya Shahada ya Sayansi na Uhasibu(BSA) kutoka Framingham State University. MA. Vijimamboblog na wadau wake wanampongeza na kumtakia kila lenye khery katika maisha yake aweze kutumia elimu yake vizuri na kujipatia maendeleo kwa faida yake na familia yake. 
Nasra akiwa na familia yake Halima Chunda  ambae ni mlezi wake pongezi kwake kwa kumuongoza hadi kufanikiwa kumaliza chuo. Kwa picha zaidi nenda chini.
Nasra akipata ukodak na familia yake



1 comment:

Anonymous said...

hongera sana sana tunahitaji vijana kama nyinyi.bravoo.GOD BLESS.