Umoja wa Waislam wa DMV - TAMCO unawakaribisha waTanzania Wote kwenye Iftar ya Pamoja
ANUANI YA IFTAR
Kwa siku zote za Jumamosi & Jumapili - In Sha Allah.
From 6PM - 10:00PM
(Kufungua swaumu ni 8:20PM)
INDIAN SPRING LOCAL PARK
9717 Lawndale Dr,
Silver Spring, MD 20901
Wenu, Uongozi TAMCO
Kwa taarifa zaidi
Ali Mohamed 301 500 9762
Shamis 202 597 8329
Asha Hariz 703 624 2409
No comments:
Post a Comment