Pita pita ya kamera ya Vijimambo Blog Baltimore, Maryland siku ya Jumapili May 20, 2018 katika mkutano wa kikao cha harusi nyumbani kwa Maria Marwa (wapili toka kushoto) na kukutana na wadau waliohudhuria kikao hicho.
Wadau waliohudhuria mkutano wa kikao cha harusi nyumbani kwa Maria Marwa (kulia) wakipata ukodak moment.
Picha ya pamoja na Maria Marwa nyumbani kwake Baltimore, Maryland.
No comments:
Post a Comment