Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kusoto akimwelekeza bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Upcat' Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octobar 15
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kusoto akimwelekeza bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' jinsi ya kupiga ngumi ya Kunyooka 'Jab' Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octobar 15 P
Bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' kushoto wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kelvin Majiba wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika kwa Super d Coach Uhuru GYM Kiwale anajiandaa na mpambano wake wa kimataifa utakaofanyika Octoba 15 China
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitupiana makonde na Sunday Kiwale ''Moro Best' wakati wa mazoezi yao yalyofanyika kwa Super D Coach Uhuru GYM Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octoba 15 China
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kusoto akimwelekeza bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Upcat' Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octobar 15
No comments:
Post a Comment