Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Rais wa Kenya Mhe. William Ruto katika hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, Kampala nchini Uganda ambapo kuna mkutano wa Africa Now Summit 2019. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Naibu Rais wa Kenya Mhe. William Ruto kabla ya kufanya
mazungumzo yao katika hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, Kampala
nchini Uganda ambapo kuna mkutano wa Africa Now Summit 2019. (Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment