Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta
Museveni mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa Africa Now Summit 2019
katika hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort mjini Kampala, Uganda.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment