Tuesday, March 5, 2019

MSIBA TANZANIA NA BLOOMINGTON. MN



UPDATE YA TANGAZO LA MSIBA.
Ni kwa masikitiko makubwa tunaomba kutangaza kifo cha Helena Baruti, ambaye ni Mama mzazi wa Kisha na Erick Baruti, dada yake Mujuni Kataraia na Johanness Twinawe. Kilichotokea huko nyumbani Tanzania tarehe 2 March 2019. 


Tutakuwa na Ibada siku ya Jumanne March 5th at 6pm
10310 Devonshire Rd
Bloomington MN 55431


Kwa wanaopenda kutuma rambirambi zao:
Tafadhali tuma kwa Erick Baruti
Wellsfargo Account # 9206042666 
Cashapp: $ErickBaruti 
Tunatanguliza shukurani.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Mujuni Kataraia 952-847-0793
Johanness Twinawe 763-744-8594 
Robert Kataraia 952-847-0833
Erick Baruti 952-239-7623
Asanteni.

No comments: