ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 17, 2019

PITAPITA YA VIJIMAMBO MILLENNIUM PARK, CHICAGO, ILLINOIS


Vikwangua anga vinavyoonekana katika jiji la Chicago maeneo ya Millennium Park jimbo la Illinois nchini Marekani. Mji huu wenye wakazi wapatao milioni 2.7 ambao ni mji wa tatu nchini Marekani wenye wakazi wengi, mji unaongoza kwa wakazi wengi ni Yew York wenye wakazi milioni 8.55 na ukifuatiwa na  ni Los Angeles wenye wakazi Milioni 3.97. Asilimia wengi ya wakazi wa mji huu ni weusi ambao wapo asilimia 32.4, wakifuatiwa na weupe wenye asilimia 31.7 na Waspanishi wenye asilimia 28.9.
Vkwangua anga vinavyoonekana jiji la Chicago sehemu inayoitwa Millennium Park.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi














No comments: