Mama nguli wa mitindo Asya Idarous Khamsini akiwasili Sweden tayari kwa kongamano la TDC Global litakalo aanza kesho Jumanne na kumalizika April 11, 2019.
Mama mitindo Asya Idarous Khamsin (aliyesimama kulia) akipata ukodak momoent na Diaspora wengine waliofika Sweden wakitokea Uingereza na Canada,
No comments:
Post a Comment