ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 14, 2019

FRED AND LUCY'S BABY SHOWER, WICHITA, KANSAS

Ni Baby shower ya Lucy liyofanyika Wichita jimbo la Kansas siku ya Jumamosi sherehr iliyohudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Mama kijachoLucy akiwa kwenye pozi ya ukodak moment huku akiwa ameshikilia tumbo lakeakiashiria mambo safi na kwamba yeye ni mama kichaxho.
Fred akiwa amemshikiria mama mwenye nyumba wake, Lucy siku ya Jumamosi kwenye baby shower yake iliyofanyika Wichita ,Kansas
Fred na Lucy wakiwa katika picha ya pamoja.
Fred na Lucy wakikata keki.
Fred akimlisha Lucy keki.
Lucy amkilisha keki Fred.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi




















































































































No comments: