Diaspora kutoka kila pembe ya Dunia wakiwasili Sweden tayari kushiriki kongamano la Diaspora lililoandaliwa na TDC Global, kongamano hilo linatarajiwa kuanza kesho Jumanne tarehe 9, April 3019 na kumalizika tarehe 11, April 2019.
Kongamano linatarajiwa kuanza saa 3 asubuhi kwa zoezi la uandikishaji kwa wageni wote waliofika Sweden kwa ajili ya kongamano hilo la kihistoria.
Wadau mbalimbali wakiwa nchini Sweden tayari kuhudhuria kongamano la Diaspora litakaloanza kesho Jumanne April 9, 2019 na kumalizika April 11, 2019.
WanaDiaspora wakiwa nje ya jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden wakipata picha za kumbukumbu.
WanaDispora wakipata kanwaji kidogo kwenye moja ya mgahawa nchini Sweden.
No comments:
Post a Comment