Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo ameitembelea Timu ya Soka ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania almaarufu Twiga Stars katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Ledger Plaza, Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe mapema leo alipoitembelea Timu ya Soka ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania almaarufu Twiga Stars katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Ledger Plaza, Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia leo alipoitembelea Timu ya Soka ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania almaarufu Twiga Stars katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Ledger Plaza, Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Soka ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania almaarufu Twiga Stars alipoitembelea timu hiyo leo katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Ledger Plaza, Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment