Kamati ya Mtaa
- Ina wajumbe 6
- Huchaguliwa toka miongoni mwa wakazi wa mtaa
- Afisa Mtendaji wa mtaa ni katibu wa kamati ya mtaa
- Hujadili na kupitisha taarifa zote muhimu za mtaa ikiwemo mapato na matumizi
- Hupanga na kuhakikisha upitishwaji wa ratiba za vikao vya mkutano wa wakazi na kamati ya mtaa.
Kamati ya Mtaa kupitia Mkutano wa wakazi wa mtaa inaweza kupendekeza kwa halmashauri ya wilaya ili Afisa Mtendaji wa Mtaa (MEO) aondolewe au achukuliwe hatua na kuwajibishwa
Majukumu ya Kamati ya Mtaa.
- Kutekeleza sera za halmashauri
- Kushauri Kamati ya Maendeleo ya Kata kwa masuala yanayohusu ulinzi na usalama na shughuli na mipango ya maendeleo
- Kushauri Kamati ya Maendeleo ya Kata kwa masuala yanayohusu ulinzi na usalama na shughuli na mipango ya maendeleo
- Kutunza taarifa za wakazi wa mtaa
- Kufanya jambo lolote kama litakavyoelekezwa na Kamati ya
- Kufanya jambo lolote kama litakavyoelekezwa na Kamati ya
Maendeleo ya Kata
No comments:
Post a Comment