ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 4, 2019

NY EBRA SIKU YAKE YA KUZALIWA ALITOA SADAKA YA CHAKULA KWENYE KITUO CHA WATOTO YATIMA ARUSHA


Kituo cha kulelea watoto yatima cha Ebenezer Orphanage kilichopo Maji ya Chai Arusha kilipokea sadaka ya chakula kutoka kwa Ny Ebra aliekuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Kituo hiki kinaudumia watoto 20 na kilianzishwa mwaka 2006 kikiwa na watoto 100 lkn kadri ya siku zinavyoenda watoto wengine walisambazwa kwenye vituo mbalimbali ndani na nje ya mkoa wa Arusha. Kituo hiki kina simamiwa na mama anaeitwa Julieth Kivuyo mama huyu anajibana kwa kile kidogo alichonacho na uku akipata misaada ya hapa na pale hili kukiendeleza kitoa chake.

Ebenezer Orphanage Center, Arusha
P.o Box 16445
Phone +255752358870
kivuyojulieth@yahoo.com


Watoto wakiimba wimbo wa happy birthday kwa Ny Ebra. Picha zaidi Bofya hapa chini

Watoto wakinywa soda kupoza kiu


No comments: