Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo na Mkuu wa Msafara wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda na Mnadhimu Mkuu wa Upinzani wa Bunge hilo Ssemujju Ibrahim Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo.
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo na Ujumbe wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda waliopo ziarani hapa nchini Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo.
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha
ya pamoja na Ujumbe wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda
waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya
Bunge)
No comments:
Post a Comment