Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akisalimiana na Katibu Mtendaji wa wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC, Dkt Stagomena Tax kabla ya kuanza kikao cha awali cha mashauriano kuhusu mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika Nchini Tanzania August,2019. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar Es Salaam, June 05,2019
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) (katikati) akishauriana jambo na Katibu Mtendaji wa wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stagomena Tax (kulia) wakati wa kikao cha awali cha mashauriano kuhusu mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika Nchini Tanzania August,2019,kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Mnyepe.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar Es Salaam, June 05,2019
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb) (katikati) akiongoza kikao cha awali cha mashauriano kuhusu mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika Nchini Tanzania August,2019.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar Es Salaam, June 05,2019
No comments:
Post a Comment