ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 25, 2019

RAIS SHEIN AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 107 YA SKAUTI YAADHIMISHWA VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Ali Mohamed Shein, akifungwa kiskafu na Vijana wa Skauti kushoto Halima Ali Makame na kulia Lutfia Juma Ali, baada ya kuwasili katika viwanja vya Mpira vya Maisara Suleiman Zanzibar kuhudhuria hafla ya  Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skatu Tanzania.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Kambi ya Mfano ya Skauti wakati wa maadhimisho ya Miaka 1-7 ya Skauti Tanzania ziulizofanyika katika viwanja vya Maisara Suluiman, akimsikiliza Kijana Jaffar Mohammed, akitowa maelezo ya michuro ya ramani ya Tanzania.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Ndg. Alois Zengwe akitowa maelezo ya Kambi ya Mfano ya Skauti wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Skauti kutimiza Miaka 107 Tanzania tangu kuazishwa kwake kushoto Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Alali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akielekea katika eneo lililotayarishwa kwa ajili ya kuyapokea maandamano ya Vijana wa Skauti Tanzania katika viwanja vya Maisa Suleiman Zanzibar kushoto Mkuu wa Skauti Tanzania Mhe. Mwatumu Mahiza na Kiongozi wa Skauti Bi. Amina Clement Edward na kulia Makamu wa Rais wa Chama cha Skauti na Waziri wa Elimu na Mafuzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma.
 VIJANA wa Skauti Tanzania wakipita kwa ukakamavu kwa mgeni Raism Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea maandamano ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania yalioadhimishwa Kitaifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akipokea gwaride Maalum la Vijana wa Skauti Tanzania kuadhimisha Miaka 107 zilizofanyika katika viwanja vya Maisa Suleiman Zanzibar.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Meza Kuu wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa.
 VIJANA wa Skauti wakitowa heshima wakati ukipigwa wimbo wa Taifa
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania yaliofanyika kataifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
 SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberia Ali Maulid, Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed GharibBilal na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hayuko pichani.
MKUU wa Skauti Tanzania Mhe Mwamtumu Mahiza akizungumza na kutowa maelezo ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
 MKURUGENZI wa Skauti Kanda ya Afrika Ndg. Fedrick Kamakama  akizungumza na kutowa Salamu za Skauti Duniani wakati wa maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania zilizofanyika Kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
  MAKAMU wa Rais wa Chama Cha Skauti Tanzania, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma ,akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin kuhutubia hadhara hiyo ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Sakauti Tanzania zilizofanyika Kitaifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.

 WAGENI Waalikwa na Vijana wa Skauti Tanzania wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimvisha Nishani Mlezi wa Skauti Tanzania Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla hiyo ya maadhimisho ya Miaka 107 ya Sjauti Tanzania, zilizofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments: