ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 1, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI CHATO MKOANI GEITA


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuka kwenye ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kuwasalimia Wafanyakazi wa Zimamoto pamoja  na wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini TAA mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini TAA mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini TAA mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Njia Panda Wilayani Chato mara baada ya kuwasili akitokea jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wafanyakazi wanaofanyakazi za ujenzi katika Kiwanja cha ndege cha Chato (hawaonekani pichani) wakati akiondoka eneo hilo mara baada ya kuwasili akitokea jijini Dar es Salaam.



 Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoa Geita. PICHA NA IKULU


No comments: