ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 29, 2019

*TARRIFA YA MSIBA DMV NA TANZANIA


Familia ya Alawi na Arafa Omar wanasikitika kutangaza msiba wa mpendwa baba yao Dr. Fadhil Omar uliotokea Tanzania usiku wa leo July 28, 2019.

Tutawapa taarifa zaidi kama Alawi atakua amefanikisha kupata tiketi za kwenda nyumbani Tanzania.

Kama ilivyo ada kupeana pole ndio mila na desturi yetu msiba upo 948 Dunloring Ct
Upper Marlboro MD 20774.

Tuwashike mkono wafiwa kwa kutuma rambirambi zako kupitia cashApp Sarah 248 514-0556.

Pia unaweza wasiliana na Alawi kumpa pole (301) 339-3765
Arafa (240) 883-8933

Inna Lillah wainna ilayhi raajiun  [Hakika sisi ni waja wa Mola na Kwake ni marejeo yetu]

No comments: