ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 19, 2019

DK.SHEIN AMUAPISHA NAIBU KATIBU BIASHARA NA VIWANDA, ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bi.Khadija Khamis Rajab kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda baada ya kumteuwa rasmi katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla kuapishwa Bi.Khadija Khamis Rajab iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ikulu, Zanzibar.

No comments: