ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 16, 2019

KARDINALI PENGO ASTAAFU KUONGOZA JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM, YUDA THADDEUS RUWA'ICHI ACHUKUA NAFASI YAKE

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kanisa Katoliki, Muadhama Kardinali Polycarp Pengo amejiuzulu wadhfa huo na tayari nafasi yake imechukuliwa na Askofu Mwandamizi Yuda Thaddeus Rwai'ichi.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania TEC, Rev.Fr Charles Kitima leo Alhamisi Agosti 15, 2019 imesema, Balozi wa Baba Mtakatifu Nchini Tanzania anapenda kuwataarifu kuwa leo Agosti 15, 2019 Papa Francis amekubali ombi la Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo la kustaafu katika majukumu ya kuliongoza jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Taarifa kamili inapatikana hapo chini.

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kanisa Katoliki, Muadhama Kardinali Polycarp Pengo

No comments: