Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam baada ya kukagua maandalizi ya mapokezi ya wajumbe wa mkutano wa SADC katika jengo la pili na la tatu kwenye kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Julai 31, 2019. Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maandalizi ya mapokezi ya wajumbe wa mkutano wa SADC kwenye jengo la pili na la tatu la abaria katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano pamoja na viongozi wa Mkoa wa Dar es salaam wakati alipokagua maandalizi ya mapokezi kwa wajumbe wa mkutano wa SADC kwenye Jengo la pili na la tatu la abaria katika kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Julai 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Wilson Kantambula (kulia) na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Damas Ndumbaro (kushoto) wakati alipokagua maadalizi ya mapokezi ya wajumbe wa mkutano wa SADC kwenye jengo la pili na la tatu katika kiwanja cha ndege cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Julai 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment