ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 19, 2019

MAMA JANETH MAGUFULI AWATEMBEZA WAKE WA MARAIS KIJIJI CHA MAKUMBUSHO NA MAKUMBUSHO YA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiongozana na mke wa Rais wa Namibia Mama Monica Geingos (kushoto) Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe(wa pili kulia) na Mke wa Waziri Mkuu wa Eswatini Mama Dlamini (kulia) wakati alipowatembeza wake hao wa viongozi wakuu wa Jumuiya ya endeleo ya Kusini mwa Afrika SADC kujione nyumba za
kiasili kwenye Kijiji cha Makumbusho Kijitonyama jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 17, 2019
Mtoto wa Baba wa Taifa Madaraka Godfrey Nyerere akionesha

cherehani ambayo Mwalimu Julius Nyerere alikuwa akiitumia kushonea nguo za familia yake kwa Mke wa Rais Mama Janeth Maguful, Mke wa Rais wa Comorro Mama Assoumani Mke wa Waziri Mkuu wa Eswatini Mama Dlamini, mke wa Rais wa Namibia Mama Mama Monica Geingos na Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe wakati Mama Magufuli alipowatembeza wake hao wa viongozi wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC kujionea vitu mbalimbali katika Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti
17, 2019
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika picha ya
kumbukumbu mbele ya nyumba ya kiasili na Mke wa Rais wa Comorro MamaAssoumani Mke wa Waziri Mkuu wa Eswatini Mama Dlamini mke wa Rais waNamibia Mama Moca Geingos na Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe wakati alipowatembeza wake hao wa viongozi wakuu wa Jumuiya
ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC kujione nyumba za kiasili kwenye Kijiji cha Makumbusho Kijitonyama jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 17, 2019.(PICHA NA IKULU).

No comments: