Mtoto Angel Raymond Mushi akiwa katika picha ya ukumbusho mara baada ya kupata Sakramenti ya Komunio Parokia ya Mt. Peter Claver ya Mbezi Loius jijini Dar es Salaam. Baadaye ilifuatia hafla ya pongezi iliyoandaliwa na wazazi wake nyumbani kwao, Mbezi Magari Saba.
Mtoto Angel Raymond Mushi (aliyeshika cheti) akiwa katika picha ya ukumbusho na wazazi wake, ndugu, jamaa na marafiki mbele ya Kanisa Katoliki, Parokia ya Mt. Peter Claver ya Mbezi Loius mara baada ya kupata Sakramenti ya Komunio jijini Dar es Salaam.
Mtoto Angel Raymond Mushi (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya ukumbusho na wazazi wake Mr.& Mrs Raymond Mushi katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mt. Peter Claver ya Mbezi Loius mara baada ya kupata Sakramenti ya Komunio juzi.
Mtoto Angel Raymond Mushi (aliyebebwa) akipokewa kwa shangwe nyumbani kwao Mbezi Magari Saba mara baada ya kupata Sakramenti ya Komunio Parokia ya Mt. Peter Claver ya Mbezi Loius jijini Dar es Salaam. Baadaye ilifuatia hafla ya pongezi iliyoandaliwa na wazazi wake nyumbani kwao.
Mtoto Angel Raymond Mushi (kushoto) pamoja na mpambe wake akikata keki katika hafla ya pongezi iliyoandaliwa na wazazi wake nyumbani kwao.
Mtoto Angel Raymond Mushi akipongezwa na wazazi wake Mr.&Mrs Raymond Mushi
kwenye hafla hiyoiliyofanyika nyumbani kwao.
No comments:
Post a Comment