ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 20, 2019

TAARIFA YA KIFO CHA MZEE FREDRICK MLAKI

Familia ya Bwana Fredrick Mlaki  inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa bwana Fredrick Andrea Mlaki kilichotokea mnamo Agosti 16,2019 katika hospitali ya Muhimbili Dar Es Salaam.

Mzee Frederick Andrea Mlaki ni mume wa Bi. Elipina Mlaki, ameacha Mke, watoto na wajukuu.

Habari ziwafikie ukoo wote wa Mlaki walioko Mwika, Ugweno, Majengo na Monduli, Ukoo wote wa Kisamo wa Usangi, ukoo wote wa Shao wa Mwika na ndugu wote na jamaa wa marehemu.

Ibada ya kuaga itafanyika siku ya Jumanne 20/08/2019 katika kabisa la Azania Front saa saba mchana na baada ya hapo kusafiri kwaajili ya mazishi Mwika, Moshi.

No comments: