ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 23, 2019

TANGAZO LA MSIBA DMV

Ndugu wapendwa, tunasikitika kutangaza kifo cha Mama yetu mpendwa Cecilia Korassa, Mama yake Jackie Korassa kilichotokea Alhamisi 22nd August 2019, hapa Washington DC, USA.

Kama ilivyo desturi yetu, kupeana mkono wa pole ndio mila na ustaarabu wetu. Msiba upo nyumbani kwa wafiwa 13608 Wood Ember Dr, Upper Marlboro MD.

Ili kukamilisha zoezi zima la kumsafirisha na kumhifadhi Mama yetu kwenye nyumba yake ya milele, tunaomba msaada wako wa kifedha, budget yetu kwa sasa ni $18,000. Tafadhali tuma mchango kwenye CashApp au zelleya Mume wa Jackie, Andrew Tandau 240-421-8392.

Kwa maelezo zaidi piga:
240-462-2480 - Richard Mawenya
410-262-9812 - Pricilla Msaki
301-549-4019 - Doris Gao
240-393-8445 - Julius Manase 

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

No comments: