ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 26, 2019

WAZIRI MKUU AWASILI NCHINI JAPAN

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi wakati alipowasili kwenye hoteli ya Yokohama  Bay  nchini Japan Agosti 26, 2019, ambako anatarajiwa  kushiriki kwenye mkutano wa  TICAD 7 na kufanya ziara ya kikazi nchini humo. Kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Japan, John Kambona.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi wakati alipowasili kwenye hoteli ya Yokohama  Bay  nchini Japan Agosti 26, 2019, ambako anatarajiwa  kushiriki kwenye mkutano wa  TICAD 7 na kufanya ziara ya kikazi nchini humo. Kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Japan, John Kambona.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya maofisa wa serikali ya Tanzania wakati alipowasili  kwenye hoteli ya Yokohama  Bay  nchini Japan Agosti 26, 2019, amabako anatarajiwa  kushiriki kwenye mkutano wa  TICAD 7 na kufanya ziara ya kikazi nchini humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: