ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 6, 2019

GLORY BIRTHDAY BASH


Bash futi ya saa tatu za fujo isiyoumiza ya kusherehekea siku ya kumbukumbu ya Glory Alex iliyofanyika ndani ya boti la Spirit of Baltimore na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki siku ya Jumamosi Oct 5, 2019, chakula cha kumwaga huku wageni wa Glory wakila na kusaza.

Glory akikata keki.

Glory akilishwa keki na baba mwenye nyumba wake.

Glory akilishwa keki na moja ya rafiki yake.

Gloty akipata ukodak moment kabla ya kupanda boti.

Glory akipata ukodak moment ndani ya boti.

Glory akipata menyu

Glory na wageni wake wakipata mulo wa jioni.

Glory na wageni wake wakiwemo watu wengine kwenye boti wakilisakata rhumba la kufa mtu.

Glory na wageni wake wakipata picha ya pampja juu kabisa ya boti.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Glory akiwa akipata picha na wageni wake waliokuja kushereheka nae.
Wageni wakipata picha za kumbukumbu.
Picha ya kumbukumbu.
Glory na wageni wake wakipata picha za kumbukumbu.


No comments: