Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe akimkabidhi mashuka Muuguzi wa Zahanati ya Kata ya Shelui, Cecilia Emmanuel alipokuwa katika ziara ya kikazi ya siku moja ya kukagua miradi ya maendeleo mwishoni mwa wiki. Kulia ni Diwani wa kata hiyo Kinota Khamis (JB)
Mhe.Aysharose Mattembe akisaini katika kitabu cha wageni katika Zahanati hiyo.
Muuguzi wa zahanati hiyo, Cecilia Emmanuel akisoma taarifa fupi ya zahanati hiyo mbele ya Mbunge Mhe. Aysharose Mattembe.
Mhe.Mattembe akizungumza na wagonjwa waliokuwepo kwenye zahanati hiyo kupata matibabu.
Mhe Mattembe akigawa sabuni kwa wagonjwa.
Mhe.Mattembe akimpatia sabuni Mganga Mfawidhi wa Zahanati hiyo, Alex Paulinus (wa pili kulia) kwa niaba ya watumishi wenzake.
Hapa Mhe. Mattembe akikagua chumba cha maabara.
Mhe.Mattembe akionesha upendo kwa kuwapakata watoto waliozaliwa katika zahanati hiyo.
Diwani wa Kata hiyo, JB akizungumza na wanawake waliowapeleka watoto wao kliniki katika zahanati hiyo.
Mhe. Mattembe akizungumza na wanawake waliowapeleka watoto wao kliniki katika zahanati hiyo.
Mhe.Mattenbe akiwakabidhi mashuka wanawake hao kwa ajili ya zahanati hiyo.
Mhe.Mattenbe akiwakabidhi mashuka wanawake hao kwa ajili ya zahanati hiyo.
Majengo ya zahati mpya iliyoanza kujengwa kwa msaada wa Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ambao ujenzi wake umesimama kutokana na ukosefu wa fedha.
No comments:
Post a Comment