ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 15, 2019

UMOJA WA WANAWAKE WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (UWAMITA) WAZINDULIWA JIJINI DAR E SALAAM

Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo (mwenye suti) ambaye alikuwa mgeni maalum akiungana na wanachama wa Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (UWAMITA) kuonyesha katiba ya umoja wao mara baada ya kufanya uzinduzi wa umoja huo uliofanyika jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia pembeni ni wanachama wakiongozwa na Mwenyekiti wao Bi. Frida Kundy (wa pili toka kushoto). Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo (wa kwanza kulia) ambaye alikuwa mgeni maalum akisoma katiba kabla ya kukata utepe ikiwa ishara ya kuzindua Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (UWAMITA) katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia pembeni ni wanachama wakiongozwa na Mwenyekiti wao Bi. Frida Kundy (wa pili toka kwa mgeni maalum).
Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo (wa kwanza kulia) ambaye alikuwa mgeni maalum akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (UWAMITA) katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia pembeni ni wanachama wakiongozwa na Mwenyekiti wao Bi. Frida Kundy (wa pili toka kwa mgeni maalum).
Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo ambaye alikuwa mgeni maalum akizungumza na wanachama wa Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (UWAMITA) wakati wa hafla ya kuzindua Umoja huo iliofanyika katika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa UWAMITA Bi. Frida Kundy na kutoka kushoto ni Bi. Lilian Patrick na Mama mstaafu Bi. Gladness Mkamba.
Wanachama wa Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (UWAMITA) wakimsikiliza mgeni maalum wakati wa hafla ya kuzindua Umoja huo iliofanyika katika jijini Dar es Salaam.
Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo ambaye alikuwa mgeni maalum akionyesha katiba ya Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (UWAMITA) mara baada ya kuzindua umoja huo, hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa UWAMITA Bi. Frida Kundy na kushoto ni Mama mstaafu Bi. Gladness Mkamba.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (UWAMITA) Bi. Frida Kundy akizungumza na wanachama wa Umoja huo wakati wa sherehe ya uzinduzi iliofanyika jijini Dar es Salaam.
Akina mama wastaafu waliokuwa wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wakipiga makofi ambapo mbali na uzinduzi huo, akina mama hao waliagwa rasmi.
Mama mstaafu Bi. Gladness Mkamba akitoa nasaha zake.
Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo ambaye alikuwa mgeni maalum akigongeana glasi (Cheers) na viongozi wa UWAMITA na akinamama waliostaafu ikiwa ishara ya upendo hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo ambaye alikuwa mgeni maalum akiongoza zoezi la ukataji keki na viongozi wa UWAMITA na akinamama waliostaafu ikiwa ishara ya upendo hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo ambaye alikuwa mgeni maalum akilishwa keki na mmoja akinamama waliostaafu ikiwa ishara ya upendo hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo ambaye alikuwa mgeni maalum akiwagawia keshi akinamama waliostaafu ikiwa ishara ya upendo hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (UWAMITA) Bi. Frida Kundy akicheza muziki na akinamama waliostaafu wakati wa sherehe ya uzinduzi iliofanyika jijini Dar es Salaam.


Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo akiburudika na akina mama ambao ni wanachama wa Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (UWAMITA) mara baada ya umoja huo kuzinduliwa. Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa UWAMITA pamoja na akina mama waliostaafu wakati wa sherehe ya uzinduzi iliofanyika jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanachama wa UWAMITA wakifurahi katika picha ya pamoja.
Wanachama wa UWAMITA na viongozi wao wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi.

No comments: