Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na wajumbe wa Mkutano wa Baraza Kuu la Nne la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara wakati akifungua mkutano huo jana jijini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Baraza Kuu la Nne la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) (Hayupo pichani) wakati akifungua mkutano huo jana jijini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Nne la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara, Bi. Leah Ulaya akimshukuru Mhe. Mkuchika (Hayupo pichani) mara baada ya kufungua rasmi mkutano wa baraza hilo jana jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano wa Baraza Kuu la Nne la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara mara baada ya kufungua rasmi mkutano wa Baraza hilo jana jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment