Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Busega, Tano Mwera (aliyevaa nguo ya Kitenge), baada ya kukagua vyumba vya mahabusu na ofisi ya Polisi wilayani hapo.Wengine ni Maafisa wa Jeshi la Polisi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati),akitoka kuzungumza na mahabusu waliohifadhiwa katika Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Busega,mkoani Simiyu
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani Simiyu, alipowasili leo kwa ziara ya kikazi inayohusu Jeshi la Magereza mkoani humo kuanza kilimo cha pamba kwa kutumia ardhi na nguvukazi ya wafungwa walionao.Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka akizungumza wakati wa kikao cha kamati ya Ulinzi na Usalama baada ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wakwanza kushoto) alipowasili kwa lengo la kujadili Jeshi la Magereza mkoani humo kuanza kilimo cha pamba kwa kutumia ardhi na nguvukazi ya wafungwa walionao. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
No comments:
Post a Comment