ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 12, 2019

WAZIRI LUGOLA AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU UHAMIAJI, NIDA KATIKA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA, JIJINI DODOMA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto), akisoma Taarifa ya Idara ya Uhamiaji na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Bunge, jijini Dodoma leo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhani Kailima. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kushoto), akisoma Taarifa ya Idara ya Uhamiaji na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Bunge, jijini Dodoma leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhani Kailima. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto), akimsikiliza Katibu wake, Nelson Kaminyoge alipokuwa akimfafanulia jambo kabla ya kuingia katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Bunge, jijini Dodoma leo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhani Kailima. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments: