BALOZI wa Tanapa nchini Nancy Sumari kushoto akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya kutangaza utalii wa ndani hapa nchini uliofanyika kwenye hifadhi ya Taifa ya Mkomazi na kuzinduliwa na Mkuu wa wilaya ya Same Rosemary Senyamule kulia kuhusu umuhimu wa watanzania kutembelea vivutio vya utalii
Mkuu wa wilaya ya Same Rosemary Senyamule akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya kutangaza utalii wa ndani hapa nchini uliofanyika kwenye hifadhi ya Taifa ya Mkomazi
Mkuu wa wilaya ya Same Rosemary Senyamule akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya kutangaza utalii wa ndani hapa nchini uliofanyika kwenye hifadhi ya Taifa ya Mkomazi kushoto ni Balozi wa Tanapa Nancy Sumari na Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi Abel Mtui kushoto
No comments:
Post a Comment