ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 15, 2019

RAIS MAGUFULI AONGOZA WATANZANIA MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA BOMBARDIER ILIYOWASILI JIJINI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Baloziwa Canada nchini Mhe. Pamela O'Donell na na mkewe Mama Janeth Magufuli akiwapongeza kwa furaha marubani wazalendo walioendesha ndege ya mpyaDE Havilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja waNdege wa Mwanza Jumamosi Desemba 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameketi na Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ndani ya ndege mpya iliyonunuliwa na Serikali aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ndege hiyo mara baada ya kuwasili.
Picha mbalimbali zikionesha Ndege hiyo ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza wakati ikitokea nchini Canada. PICHA NA IKULU
Ndege mpya aina ya DE Havilland DASH8-400 ikipokelewakwa saluti ya maji na Kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ilipotuaUwanja wa Ndege wa Mwanza ikitokea Canada na kupokelewa na maelfu ya wananchi wakiomngiozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Jumamosi Desemba 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Baloziwa Canada nchini Mhe. Pamela O'Donell na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuipokea rasmi ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400katika uwanja wa Ndege wa Mwanza Jumamosi Desemba 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Baloziwa Canada nchini Mhe. Pamela O'Donell na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuipokea rasmi ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400katika uwanja wa Ndege wa Mwanza Jumamosi Desemba 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulina Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapongeza kwa furahamarubani wazalendo walioendesha ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza
Jumamosi Desemba 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa ATCL wakati wa mapokezi ya ndege mpyaya DE Havilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja
wa Ndege wa Mwanza Jumamosi Desemba 14, 2019
Ndege mpya kabisa aina ya DE Havilland DASH8-400 baada ya
kuwasili kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa
Mwanza Jumamosi Desemba 14, 2019 (PICHA NA IKULU)

No comments: