Rais mstaafu wa awamu ya tatu,Mhe.Benjamini William Mkapa akipokewa na Mkuu wa Wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanaasha Tumbo mara baada ya kuwasili leo katika Uwanja wa Ndege mkoani Tanga.
Rais mstaafu wa awamu yabtatu Mhe. Benjamin William Mkapa, amewsili jijini Tanga kusherehekea mwaka mpya.
Mhe. Mkapa amewsili kwenye uwanja wa ndege jijini Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Mhandisi Mwanaisha Tumbo, Kaimu Mkurugenzi Jiji la Tanga Ndg. Poss, Mhe. Mkoba Mwenyekiti ccm wilaya,Ndg. Kidima Katibu ccm wilaya na Ndg. Kapange Katibu siasa na uenezi wilaya pamoja na wakuu was idara za serikali.
Lupakisyo Kapange
Katibu Siasa na Uenezi
Wilaya ya Tanga
No comments:
Post a Comment