ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 20, 2019

SERIKALI IPO TAYALI KUSHIRIKIANA NA CHAMA CHA WATAALUMA WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA CHAKULA TANZANIA

Mkurugenzi wa Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara,Dkt. Consolatha Ishebabi akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha wataaluma wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula Tanzania, TAFST.leo katika Ukumbi wa kwanza wa Mwil. Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es salaam. ambapo amesema Serikali ipo tayali kushirikiana na chama hicho pamoja na vyama vingie mradi tu sheria za nchi zizingatiwe.
Mwenyekiti wa chama cha wataaluma wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula Tanzania, TAFST,Cosmas Jacoba kisoma hotuba yake katika ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha wataaluma wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula Tanzania, TAFST.leo katika Ukumbi wa kwanza wa Mwil. Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Mkurugenzi wa Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara,Dkt. Consolatha Ishebabi wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha wataaluma wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula Tanzania, TAFST.leo katika Ukumbi wa kwanza wa Mwil. Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Mgeni Rasmi Mkurugenzi wa Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara,Dkt. Consolatha Ishebabi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

No comments: